Wengi wetu wanaingia ndoani kwa kufuata mkumbo, hawajui nn maana ya ndoa. Wao wanafurahia sherehe znazofanyika wakati wa harusi na zile zawadi watunzwazo kipind cha sherehe za harusi bila kujua undani wa jambo husika, inasikitsha sana. Hawajui chochote weng wao......wanadhani ndoa ni kunjunjana tuu 😔.