Ndoa za siku hizi


MJ1 kumbe mmeo anakutendea wema. Mi hayo yote uliyoyataja ndio zangu kasoro hiyo red kwangu inakuwa hivi:
5. Nikirudi jioni napitia bar kupata mija moto moja baridi
6. Nikitoka bar ni moja kwa moja kitandani kwakuwa nakuwa nimeshafakamia makongoro au mkia na ndizi kadhaa. Msosi kula na wanao.
 

I hate this mentality kwamba mume afanyiwe, mume afanyiwe, halafu mbaya zaidi ni sis wanawake ndo tunapreach huu ujinga, sisemi kwamba maid hatakiwi kusaidiwa kazi no, nachosema hata baba asaidie kazi inapobidi. na kwa taarifa yako pretty, hawa viumbe waitwao wanaume wakitaka kulala na maids, barmaids, vichaa hata mama yako au sister wako, wanafanya tu, tena bila kujali kwamba huwa una amka saa kumi kumchemshia maji , kumtayarishia breakfast na kumnyosheea nguo. so i would advise you to find another way of thinking na siyo eti nikimfanyia kila kitu ndo hatatembea na housemaid.
 

message send
 

Duh hii point nimeikubali kama mwananume kwa kweli na siu we are not playing our part mapenzi ni two ways traffic... tubadiliki maana ukimtendea mwenzako jambo jema atakulipa kwa jema mara kadhaa
 
Chrispin inakupasa ubadili mwenendo wa maisha yako ndo hapo mnapokuja kuanza ooh mke wangu hanipendi /ooh ana kaserengeti boys mtaa wa jirani
huonyeshi mapenzi jamani baa /kulala nini hii
Njoo nikupe kicheni party🙂
 

Inategemea wamama wanawatreat vipi hawa housemaids, kama unamtreat kama mtumwa haya, kama unamtreat kama ndugu haya. ni kweli hata mimi sipendi aachiwe kila kitu, ila hata wanaume wasaidie kazi, yani nyumba nzima including mama, baba, na watoto na maid wasaidiane ili maisha yawe mepesi kwa wote, si kusema mama mvivu, mama hafanyi hivi wala vile. inategemea lakini schedule yako ikoje maana tunaweza kuwa tunaongea na watu ambao tumepishana ratiba za siku.
Lakibni mwisho wa siku nakubaliana na point ya kuishi na maid kama mdogo wako wa damu, maana ndo mtu wa karibu uliyenaye, ukimyanyasa anaweza kukufanyia chochote especially kwa kuwa watoto anashinda nao yeye n.k
 
Hahahaha mpwa Chrispin yeah umelenga Ikulu lazima upitie kiwanja kubadilishana mawazo na wadau sio muda wote nyumbani na wife mnachokana mapema wewe angalia asubuhi mme na mke wakiwa kwenye fari moja asubuhi utakuta wote wamenuna chunguza mpwa No story wote midomo imenuna wamechokana anae bisha j3 afanye utafiti kwenye foleni humu utabaini.
 

Men will always be men, yani they think they are the only one who deserve to be treated right, they have a right to say they are tired and to be understood...but what about women? dont they get tired? halafu eti mnatishia wake zenu wasipokuwa watumwa wenu mtatembea na maids! what a poor excuse for you guys. mbona sijaona hata mmoja hapa akisema inabidi wanaume tukifika home au hata weekend tusaidie kufua nguo za watoto, mkeo na zako? why not help your wife to cook meals for the family, inawacost nini?
 

Mpwa sometimes unamwaga mapwenti ya akili sana. Ili mama apate habari yake vizuri, lazima upitie bar ukapate msisimko wa barmaids na nguvu za valeur. Watu wengine hawajui mama anachokitafuta kwa serengeti boys, ndio maana wanamegewa kirahisi.
 
Chrispin inakupasa ubadili mwenendo wa maisha yako ndo hapo mnapokuja kuanza ooh mke wangu hanipendi /ooh ana kaserengeti boys mtaa wa jirani
huonyeshi mapenzi jamani baa /kulala nini hii
Njoo nikupe kicheni party🙂

Siwezi kubadili kwa kuwa uzoefu wangu unaonyesha NACHOKIFANYA WIFE ANAKIFAGILIA KICHIZI. Hakuna serengeti boy anayeweza kuingia anga za Chrispin, wenyewe wanaujua mziki wangu.
 

wewe umemfanyia hayo mkeo? mbona unataka ufanyiwe wewe kwa nguvu na siyo kufanya wewe? remember in a marriage people are equal partners. no one is better than the other to deserve a king treat from the other who is nothing but a maid. Play your part and your woman will play hers. period!
 
8. Uingie kitandani baada ya kumaliza kazi zako akudake tayari kwa chakula cha usiku.

Yeah hapo ndo penyewe si umeolewa kwa ajili ya kazi hiyo!!
Au ulifiki unakaa na mwanaume kwa ajili ya nn wengine kazi zote mnawaachia mahausi geli kasoro tu chakula cha usiku hicho ndo upo tayari kumbania hausi geli asimegwe na fadha.
 

Carmel tena unakuta wakati wa uchumba he was a very good chef. But all in all nafikiri inabidi wanandoa waache kuchukuliana kwa terms za mke/ mume kwani hizi ndo zinazofanya wengine wajione wana haki na wengine hawana. Mchukulie mwenzio kama binadamu unayempenda nina hakika utakuwa na huruma japo kiduchu na utakuwa na hamu japo ya kumfurahisha siku moja. Kuna mmoja alikuwa anachekesha yeye aklikuwa akiudhiwa na mwenzi wake atakasirika na kununa hadi basi na hata akiombwa msamaha itabidi mwenzi afanye kazi ya ziada yaishe (ila yanawekwa kwenye reference book for future use) ila yeye akikosea hataki mwenzi wake akasirike akikasirika ni kosa ananuna!
 

Shauri yako Fidel80,mwaka 2012 ukioa usithubutu kujifanya busy eti hutaki kukaa na mkeo,utasaidiwa na serengeti boys.mchana wote unashinda kazini,jioni na wikiendi upo bar,hivi unategemea nini? kwa taarifa yako wanawake huwa tunapenda sana kupewa muda wa faragha.Chrispin asikudanganye hayo anayosema hayatendi.
 
Yeah hapo ndo penyewe si umeolewa kwa ajili ya kazi hiyo!!
Au ulifiki unakaa na mwanaume kwa ajili ya nn wengine kazi zote mnawaachia mahausi geli kasoro tu chakula cha usiku hicho ndo upo tayari kumbania hausi geli asimegwe na fadha.

Ndo hicho tu ulichokiona kwenye post nzima.
 

I am better than my wife. Huwa analia sana wakati wa kumegana, afu anamalizia kwa kushukuru: Thanks Chris, you are everything to me!. You are so sweet. Hahahaha!
 
Ndo hicho tu ulichokiona kwenye post nzima.

Yeah nimevutiwa na chakula cha usiku mambo mengine uyaache wewe hutaki mzee apumnzike jioni asile lager? Asionane na wadau akina Chrispin? Ili waweze kubadilishana mawazo 1,2,3 na mipango ya maendeleo inapatikana Bar wewe mama utatoka j2 au jmosi.
 

You got it right Mwanajamii1, ni kama vile ulikuwa kichwani mwangu. yaani hii ndiyo lifestyle ya wanaume wetu hawa wa kibongo, eti wakishaoa wanadhani wake zao ni maids, hawezi hata kushusha net kitandani, wanajua kuvua nguo na kutupa katikati ya chumba. halafu eti wanathubutu kusema wake zao hawajishughulishi, ebu kaeni chini mfikirie men, you need to change this mentality, na kama ni kisingizio cha kutembea na maids, go ahead and do it, kama mimi ndo sijali kanisaa, kwa hili mume wangu kala shot
 

Z.D sawa muda wa faragha unapata usiku wakati wa chakula cha usiku. Nimetoka kazini niache nionane na wadau tupange mikakati sasa nimetoka kazini ninyooshe moja kwa moja wewe utanishauri nini swala la maendeleo zaidi zaidi unoko unoko mama flani yupo hivi na vile mm nikipitia kuboost ubongo nikirudi home nakuja na mawazo mapya hivi na vile kuna mchongo huu na huu. We unafikiri dili zinapangiwa nyumbani na wife thubutu.
Uzuri watu kama sisi kwenye gemu la nyumbani iwa hatuchezi chini ya kiwango mtu anaridhishwa akija huyo serengeti boys ataonekana anacheza makida makida.
 
Siwezi kubadili kwa kuwa uzoefu wangu unaonyesha NACHOKIFANYA WIFE ANAKIFAGILIA KICHIZI. Hakuna serengeti boy anayeweza kuingia anga za Chrispin, wenyewe wanaujua mziki wangu.

Dont be too sure boy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…