Ndoa za siku hizi

Kabla sijaoa, kulikuwa na foleni ya vishosti vikipigania kufanya usafi wa gheto na kunifulia viwalo. Nilikuwa nawapangia ratiba ili kukwepesha ugomvi. Hahaha! Nakumbuka siku moja vilifumaniana nikasepa, swahiba akavisuluhisha. Nikajua vitanitosa kumbe ndio kwanza vikazidi kujileta. Mpaka kuamua kuoa, nilijitahidi sana kudumisha mila.
 
mhh jamani, akufulie mpaka chupi na boxers...huyu mamam atakuwa hajitambui kabisa.

Kweli kabisa Nyamayao ikifika hapo sasa huyo mama atakuwa amejisahau kwa kiasi kikubwa sana,itabidi atafutiwe washauri waanze kumpa somo tena kwa upya kuhusu ndoa.
 
hivi wapwa,
mimi nikimweka beki-tatu pale geto itakuwaje?na waifu ameenda darasa udom
 
Mmmhh kazi kweli kweli,hujatulia wewe.
 
hivi wapwa,
mimi nikimweka beki-tatu pale geto itakuwaje?na waifu ameenda darasa udom

Kama vipi nikutafutie kamoja. Kuna kamoja wife alikatimua akiogopa usalama wa ndoa. Kakali kweli katoto ka kirangi.
 
mami umenena haswaaa...hapo kwa blu mie haniachi aisee, apande yeye daladala.
 
Kweli kabisa Nyamayao ikifika hapo sasa huyo mama atakuwa amejisahau kwa kiasi kikubwa sana,itabidi atafutiwe washauri waanze kumpa somo tena kwa upya kuhusu ndoa.

Kwani kufua kufuli ya mmeo ni kosa? Huu ndo wajibu wa mwanamke au mnafikiri wajibu wenu ni kwenye chakula cha usiku tu?
 
Kama vipi nikutafutie kamoja. Kuna kamoja wife alikatimua akiogopa usalama wa ndoa. Kakali kweli katoto ka kirangi.

sasa mimi waifu ndo atakafurahia?hehehe patachimbika mkuu.nasikia tutoto twa kirangi naturally ni tusafi sana.kwa mujibu wa tetesi huwa tunaenda oga kila baada ya mshindo mmoja.vipi shemasi na wewe kalikuwa kanakufanyia hivyohivyo?
 
Sikufanikiwa mpwa, wife alikuwa kama mgambo wa city. Woman to Woman. We katakufaa waife atakapoenda UDOM. Hahahaha! Contacts zake bado nazo.
 
Yaani wewe utulivu ni 0%. Sasa hizo tabia ulishaziacha za kuwa na vishosti vingi baada ya kuoa? au bado unaendelea nazo?

Hivi unategemea mahawala iwa wanaachana? Thubutu wanacho fanya nikukumbushia tu.
 
Kwani kufua kufuli ya mmeo ni kosa? Huu ndo wajibu wa mwanamke au mnafikiri wajibu wenu ni kwenye chakula cha usiku tu?

hahahah!shemeji waeleze hao.hivi hawa ni wanawake wa wapi wasiojua na hili?

wao wasipofua WAPO WENZAO WANAFUA KILA SIKU
 
Yaani wewe utulivu ni 0%. Sasa hizo tabia ulishaziacha za kuwa na vishosti vingi baada ya kuoa? au bado unaendelea nazo?

Aaaah! Nlishaachaga zamaniiii. Hivi sasa na deal na wazoefu wenzangu. Ndo maana nlikwambia Mr. akikuboa usisahau kuniPM.
 
Nyie hapo juu mnaanza kuharibumnaonyesha udhaifu wenu ni upi
 
Sikufanikiwa mpwa, wife alikuwa kama mgambo wa city. Woman to Woman. We katakufaa waife atakapoenda UDOM. Hahahaha! Contacts zake bado nazo.
KWELI BWA-SHEE!
sasa fanya hivi,ni-pm namba zake basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…