Ndoa zetu na umiliki wa mali...kizungumkuti kingine!!

dc,kuna watu wengine unawaangalia vichwa vyao unashindwa hata kuhukumu.kuna mtu mnaweka mezani issue,mkimaliza tu kuongea anafanya exactly mlichokubaliana kutofanya.unafanyaje kwa case kama hiyo?unakuta hata ndugu za mwenza wanaku-support ufanye things behind his/her back.ungekuwa na mke interest yake ni kuvaa dhahabu worth 5-10 M tshs ungefanyaje,na mmepanga nyumba?mikataba inakuwepo ila inafika wakati mnakubaliana kila mtu afukuzie ndoto zake manake tulikutana kila mtu alikuwa na road map yake.baadae watoto watakuuliza baba na ww ulifanya nn wakati mama anakosea,utajibu vp?

ni kweli kabisa, ukionana na wanasheria wanafafanua vizuri sana,
lakin mimi bado nalia na gharama zao ,
zipo juu na hasa pale rita ksb ndiyo ninapafahamu na nimefanya kazi nao.
Wakipunguza gharama naamini watu wengi sana watanufaika na huduma yao,kuliko sasa hivi huduma hiyo utolewa kwa watu wachache wenye kumudu hiyo gharama tu.

HAPANA, NI WOTE BABA NA MAMA, MUME NA MKE, na hata SINGLE'S pia.
KWA WANANDOA NI VIZURI ,
MUME NA MKE KILA MMOJA AU KWA PAMOJA WAANDIKE WOSIA WAO,

PIA HATA INAPOTOKEA MABADILIKO KATIKA WOSIA WAO WA PILI,
UFANYIKE KWA UWAZI PASIPO KIFICHO.

pa kuanzia hayo amongezi ndugu bila kueleweka vibaya coz mmoja wanu akishirikisha ndugu zake hapo kasheshe linaanza hata ukiumwa mafua utaambiwa ndio mambo ya kuulizia wosia hayo....

DC suala la wosia liache tu hivyo hivyo wengine wakijua tayari umeandika urithi wako tayari kuchukua maisha yako ili wachukue chao mapema kabisa

Acha woga THE FINEST...lol,
kwanini wakuharakishe ikiwa warithi wanakuwa hawajui,
ulichokiandika humo ndani...
labda waambiwe na shahidi au mwanasheria wako,
Acha bana chukua hatua...lol

sasa mume na mke kila mmoja akiandika wa kwake si patakuwa gongana?genge la manzese kila mtu anamrithisha mama yake mzazi?it is easy kama kuna maelewano 100% nadhani.ni kazi kwa kweli!

pa kuanzia hayo amongezi ndugu bila kueleweka vibaya coz mmoja wanu akishirikisha ndugu zake hapo kasheshe linaanza hata ukiumwa mafua utaambiwa ndio mambo ya kuulizia wosia hayo....

ha ha hha haha....da nimecheka sana,
tuache imani hiyo nyama yao,
ili tupunguze migogoro baada ya kufa wapendwa wetu,
na kuwadhibiti wale wanaokuwa waroho na mali za ndugu zao,
inaumiza sana na hasa mwanamke anapofiwa na mumewe,
basi ndugu wa kiume mara nyingi wana kasumba ya kuchukua ,
haki ya mjane na hasa KIMALI,
tofauti na ndugu wa mwanamke hata mwanamke akifa ktk ndoa,
ndugu zake wala hawana uroho wa kukimbilia mali ya ndugu yao na kumbughudhi au kumdhulumu mume wake...

Mkuu DC, Heshima yako!!

Mada nzuri sana, naomba leo nipate elimu juu ya hii..nitakuwa hadhira nafuatilia kwa kusoma maoni ya watu juu ya hili!!

Maana mali ni kitu sensitive sana kwenye maisha ya wanandoa/familia.

cjaandika kaka...hebu nipe mbinu za kumwanzishia shemeji yako maongezi haya ili tuweze kuandika huo wosia bila kunihic nataka kumuotea......kazi kweli.

Dada sina hakika labda tusubiri wanasheria waje watufafanulie. Huna haja ya kupata consent ya shemeji ili uandike wosia wako. Huo ni wosia wako na nadhani hatakiwi kujua contents zake.

But dada tunachukulia vitu muhimu sana katika maisha yetu kwa mzaha sana. Why?

Hii ni topic ya muhimu sana, i wish watu wangeitolea michango yao mingi na experience tofauti. Kiukweli swala la kufichana mali zilizopo kwenye familia linazidi kushika kasi, kwa lugha nyingine utakuta watu wamekaa kimitego mitego utadhani si wanandoa. mimi sioni sababu ya mume kumficha mkewe mali alizonazo au hata flow ya kipato kwenye familia na especially pale ambapo kuna watoto kwenye familia, mume akifa ghafla mali nyingi ambazo zingesaidia watoto huwa zinakufa huko ziliko, ni mara chache sana kurecover kitu ambacho ulikuwa hujui kama kina exist. Hata wanamama, wanapoamua kuwa na mali binafsi nje ya familia na kuzificha kunatokea same problem kama mtu akifa ghafla, ila experience inaonyesha mara nyingi wanawake ndo victim wa hii ishu maana ndugu wa mume mara nyingi wanamgeuka mara tu anapofiwa na mumewe. Nionavyo mimi, kama unaona mkeo atafaidi sana mali zako na wewe hutaki andika majina ya watoto na iwekwe wazi, ni vizuri pia tukijifunza kutumia wanasheria kutunza wosia wetu katika mambo kama haya kama hatutaki wenza wetu wajue ili zile mali zisijepotea bure kwenye mikono ya wajanja.

DC suala la wosia liache tu hivyo hivyo wengine wakijua tayari umeandika urithi wako tayari kuchukua maisha yako ili wachukue chao mapema kabisa

finest,wosia ukiandikwa unakuwa wa siri.mfano,rafiki yangu waliandika wosia na lawyer wa kazini.lawyer ana copy na yeye ya kwake kaiweka ndani.mimi tu ndio nina clue ilipo hiyo document nyumbani kwake na napaswa kumuarifu baba yake tutafute something ndani kwake ili lawyer asimchakachue.mie mwenyewe sijui kaandika nn na ndugu zake hawajui chochote.she is single (sijui atanirithisha ile site yake,teh teh)

itakuwa safi hiyo ...lol,

Asante babu DC!

Ndugu yangu...bado naamini ndoa inahitaji makubaliano hata kama ni yale ambayo mnakubaliana kutokubaliana. Kukaa kimya ni hatari sana na pia kumzunguka mwenzio na kujitengenezea jinai moyoni. Nashauri watu wachukue hatua za kisheria katika mambo kama hiyo ili kupunguza risk za heart attack.

Mke au mume ambaye ni unrealistic katika matumizi (kama huyo anayejipamba dhahabu na kuishi nyumba ya kupanga) anatakiwa kuchukuliwa kama wagonjwa wengine na kudeal naye kwa mujibu wa sheria. Am I being too harsh???

Napendekeza tuwe na entrepreneurship marriage with everything on the papers na especially kama wanandoa wote wana uwezo wa kumiliki tangible assets. Hili haliwezekani?

dc,hapa nadhani mwanasheria angefafanua.mali zipi naweza kuandikia urithi na zipi mwenza wangu ataandikia?manake kama ni nyumba hadi communicatio allowance yangu niliileta ikalipa mchota maji.sasa hapo inakuwaje?ni muhimu pia kama tutajua mali zipi zinaandikiwa urithi na zipi zinapotezewa.niliona msiba wa kina murrra flani,jamaa waligombea hadi mashati na bukta za marehemu!

Kwa Roman Catholic, kanisani pia wanatoa huduma ya kutunza wosia. Umewahi kufuatilia hiyo alternative?

wacha tu dear wangu, c unajua tena familia zetu,ndugu wa mume wakujua unaulizia wosia wakati ndugu yao mzima wa afya c ndio utaambiwa unamchuria/una uchu na mali na mambo kibao, kama sisi vitu vyote tumendika majina ya watoto sasa hapo napo cjui namwambiaje ageuze mali za junia ziwe za nyamayao au nafanyaje jamani? unajua ni ngumu sana au mie cwaelewi jamani? au ni kama tunaweka mali zetu chini then tunawagaia watoto cc tunabaki kapa? coz mie cpo tayari kabisa kumwandikia yeye usia kwenye kile kibanda changu...DC mbona unatupasua kichwa wengine?

kazi kweli kweli, so natakiwa niandike mpaka bra na underskirt?...bwana king'asti mie ctaki, hebu hao wanasheria bac mjitokeze mtutoe matongotongo jamani....

kaka wewe umeshaandika? na ulianzaje kumshirikisha mama DC?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…