Ndoa zina mambo - Chatmate needed


Mwambie naomba namba yake ya simu! Nina uzoefu wa kutoa ushauri nasaha katika masuala kama hayo!
 
Dah....biznez plani yangu yoote umeichakachua....:sad::sad:
na ntachakachua ving mpk proposal yako nin bzness plan?
kile kifungo kinaendelea ....stak kuongea na wewe nimekununia!!!!
hw u?
missng u badly ma men niaje apo finest jana nilitaka kuwafata nkaona ahh bas tena nkageuzia njian tu.......
ukija twn nchek.......npo uku leo.
chat rum yaja lin?
 

Well well....am at your disposal madam.....
BTW: Hivi huyu dada/mama anatafuta Cheatmate kuanzia lini?? Nataka nimsaidie...ofkoz if you permit..
 
 
roy unataka kufanyaje?????
ole wako nakwambia
jaribu uone km sjaku.k.e.k.e.t.............mayra ya pili!
tatizo la uku aujalimaliza unataka kwenda wap tena????ebu rud uko haraka saaaaaana kaz iyo mwachie FINEST AU GENERATION Y!!!!

Yaani Roya Roy anacheza namba 9 saa hadi anataka kucheza namba 12 ninayocheza mimi, Roya Roy kocha kasema benchi kwanza acha tuliofanya mazoezi tuingie ground
 

Kwingine kooote sawa....hapo kwa red....:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
Yaani Roya Roy anacheza namba 9 saa hadi anataka kucheza namba 12 ninayocheza mimi, Roya Roy kocha kasema benchi kwanza acha tuliofanya mazoezi tuingie ground

Wewe Finest unakosa subira...kwa nini?? Y??
 

Nimesikia mods wanasema watakuwa wanaiweka usiku tu:doh::doh::doh: Lol!!!
 
Ile subira ya kuambiwa nisubiri raundi yangu itafika:nono::nono::nono::nono: Je? Kwenye raundi nikiwa wa 50 nitafikiwa lini

Mambo mazuri hayataki haraka...:bowl:
 
Kwa vile mwenyewe amechagua lazima awe mwanaume basi waswahili wanasema mwana kilanga haliliwi wala halaliwi matanga. Atakayoyapata huko ngojea tusubiri. Tutakuja kusikia mshauri kageuka kuwa ndio mume.

Huwa inatokea lkn baada ya hapo ataomba tena tena mtu wa kuchat nae,,,mbona itachosha!
 
roy unataka kufanyaje?????
ole wako nakwambia
jaribu uone km sjaku.k.e.k.e.t.............mayra ya pili!
tatizo la uku aujalimaliza unataka kwenda wap tena????ebu rud uko haraka saaaaaana kaz iyo mwachie FINEST AU GENERATION Y!!!!
Orait....St. Roya umeyasikia haya? sio ombi ni amri.
 

Duuh kiswahili ni kigumu kuelewa hasa kwa sisi wa miaka ya 60 na sabini:rain:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…