Hivi ni kwa nini binaadam wanaoana?? Ina maana binaadam ni tofauti sana na wanyama wengine hasa linapokuja suala la mahusiano?? Kwa nini tusingekuwa kama wanyama wengine dume moja majike hamsini?? Utaratibu wa ndoa haujaletwa na baadhi ya watu wachache wabinafsi wanaotaka kujimilikisha kila kitu???[/QUOTE]
Funny part of it,inawezekana kuna ukweli acha nisubiri majibu,,lol
Wewe usingependa muwe zaidi ya mmoja kwa mwanaume mmoja??Hivi ni kwa nini binaadam wanaoana?? Ina maana binaadam ni tofauti sana na wanyama wengine hasa linapokuja suala la mahusiano?? Kwa nini tusingekuwa kama wanyama wengine dume moja majike hamsini?? Utaratibu wa ndoa haujaletwa na baadhi ya watu wachache wabinafsi wanaotaka kujimilikisha kila kitu???[/QUOTE]
Funny part of it,inawezekana kuna ukweli acha nisubiri majibu,,lol
Kwani wewe unauonaje huu utaratibui???
Ulichouliza hapo juu nini?Hicho hicho!Ninachokitaka kipi hicho?
Hivi ni kwa nini binaadam wanaoana?? Ina maana binaadam ni tofauti sana na wanyama wengine hasa linapokuja suala la mahusiano?? Kwa nini tusingekuwa kama wanyama wengine dume moja majike hamsini?? Utaratibu wa ndoa haujaletwa na baadhi ya watu wachache wabinafsi wanaotaka kujimilikisha kila kitu???