T tallnoma Member Joined Sep 16, 2012 Posts 20 Reaction score 2 Dec 16, 2012 #1 ndugu zangu wanasheria unampa talaka kwa wale wenzangu wa dini ya kiislamu anapokea kwa kuweka masharti kuwa niendelee kumsomesha tena kwa maandishi ni sahh hiyo jaman , nipe msaada wako wa kisheria !
ndugu zangu wanasheria unampa talaka kwa wale wenzangu wa dini ya kiislamu anapokea kwa kuweka masharti kuwa niendelee kumsomesha tena kwa maandishi ni sahh hiyo jaman , nipe msaada wako wa kisheria !