Ndomana Waliliwa 7 na Ujerumani Kwa kutegemea mtu mmoja

Ndomana Waliliwa 7 na Ujerumani Kwa kutegemea mtu mmoja

Allain Massai

Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
12
Reaction score
25
NYOTA wa Paris Saint-Germain, Neymar amewasili mjini Belo Horizonte akiwa na mama yake, Nadine Goncalves Da Silva and na Daktari wa timu ya taifa ya Brazil, Rodrigo Lasmar jana tayari kwa upasuaji wa mguu.
Nyota huyo wa anatarajiwa kufanyiwaupasuaji wa mguu baada ya kuumia enka Jumamosi iliyopita, timu yake PSG ikishinda 3-0 katika Ligi ya Ufaransa, Ligue 1 dhidi ya Marseille.
Pamoja na klabu yake awali kusema mchezaji huyo hakuhitaji upasuaji, lakini mshambuliaji huyo jana usiku aliwasili katika hospitali ya Mater Dei Hospitalhuyo nchini kwao, Brazil.

Neymar amewasili na Daktari wa timu ya taifa ya Brazil, Rodrigo Lasmar mjini Belo Horizonte jana usiku l.

Brazil imeamua kumchukua Neymar kumtibu haraka ili isije ikamkosa kwenye Fainali za kombe la Dunia nchini Urusi katikati ya mwaka.
Sasa PSG wanaelekea kwenye mchezo wa marudiano wa 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya wiki ijayo bila Neymar wakitakiwa kuifunga Real Madrid 2-0 mjini Paris ili kwenda Robo Fainali, kufuatia kufungwa 3-1 kwenye mchezo wa kwanza Madrid.
 
Daaaah naona furaha kwa madrid

Bila ya neymar ndio mbaya kwa Real. Neymar hakuwasumbua kabisa mechi ya mwanzo nawala asingewasumbua mechi ya pili.
Ila sasa wajiandae na Di maria mashine kubwa. Wanaweza kuja kusema wenyewe wapi wameuficha mzigo wa bwana.
 
Bila ya neymar ndio mbaya kwa Real. Neymar hakuwasumbua kabisa mechi ya mwanzo nawala asingewasumbua mechi ya pili.
Ila sasa wajiandae na Di maria mashine kubwa. Wanaweza kuja kusema wenyewe wapi wameuficha mzigo wa bwana.[/QUOTEkumbuka unaizungumzia Madrid bingwa wa uefa of all the time
 
Back
Top Bottom