NDONDI: Deontay WILDER vs Luis ORTIZ kumaliza ubishi kesho..

"When u fight with me u need to be perfect for 12 rounds, but i only need 2 seconds"-Wilder.

Sio rahisi kuwa perfect for 12 rounds, nayeye amesema huwa hawazi kuhusu kuloose rounds kama mabondia wengine, ndio maana hakupanic baada ya kuona round zote 6 kawa outboxed, anasema yeye huwa patient na kusubiria opportunity ambayo sikuzote huwa anaamini lazima ipatikane, ikipatikana ni 'goodnight'[emoji378][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…