JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mara baada ya pambano hilo Stumai amesema ametimiza kile alichokiahidi kwa Watanzania wakati upande wa Chimwemwe amedai kuwa kupoteza pambano haina maana mpinzani alikuwa bora zaidi yake bali imetokea tu.
Katika pambano lingine Mtanzania, Grace Mwakamele amemshinda Luckia Ali kutoka Malawi kwenye pambano la saba usiku huu.