Ndondo Cup, Azam TV acheni huu upuuzi

Ndio maana nikasema kama hujui uliza? ndondo ni bonanza? utachekwa.
Kuna bonanza gani watu wanalipa kiingilio kuiangalia na wanajaa kushinda hata mechi za ligi kuu?
halafu umagharibi usituharibu. Vya nyumbani tuvipende na kuvithamini pia.

Kulipia tu ndo kuna fanya mashindano yawe credible?
mshindi wa ndondo cup anaenda wapi?anashiriki wapi after that?
Tff CAF na FIFA zinahusika na ndondo cup?
 

Pre season zinaoneshwa na tv za club..
na zinatambulika na vyama vya nchi zao
 
Kwa watu walianza kuangalia ndondo tangu 1990's enzi zile za Lucky Rangers tunakushangaa sana.

Elewa kinachozungumzwa
mtu akienda kutazama ndondo cup hakuna tatizo
hapa tunazungumzia big sports evnts za mtu kulipia tv kutazama...
hiyo miaka ya 90 kulikuwa na tv mnalipia kutazama ndondo cup?
 
Endelea kuamini unachoamini. Ila acha kudharau ndondo cup.
 
Afu kama umetumwa hv mana naona thread yenyew yote imejaa comments zako tu The Boss
 
Endelea kuamini unachoamini. Ila acha kudharau ndondo cup.

Ukisoma vizuri utaona ugomvi wangu ni Azam tv na kulipia kutazama
sina ugomvi na Ndondo cup...hasa kama ingeoneshwa bure tu kwa kupitia tbc au clouds tv na wengine
ugomvi wangu ni azam hd sports....
 
Ukisoma vizuri utaona ugomvi wangu ni Azam tv na kulipia kutazama
sina ugomvi na Ndondo cup...hasa kama ingeoneshwa bure tu kwa kupitia tbc au clouds tv na wengine
ugomvi wangu ni azam hd sports....

Kwahiyo leo AzamTV wakionyesha FA cup preliminary rounds ambazo ndio timu za mitaani (ndondo) za uingereza sawa? Hahahhahaha.
 
i think ni kitu kizuri sana kuonyesha mpira halisi wa uswahilini kwet mimi km mteja wa azam nimependa saanaa
 
Mi huwa napenda kwenda hizi ndondo. Sio kwenye tv ila kuzishuhudia physically.
Kuna taste fulani naipata ambayo haielezeki.
 
Id yako ilitakiwa iwe the IDIOT maana unaongea upumbavu kwan hata mjinga ana nafuu
 
Mwambie mengi aonyeshe hizo za kimataifa
 


Azam inatazamwa na wengi tukiwemo sisi wapenzi wa hio NDONDO CUP unayoona ni upuuzi! Tean huwa tunaenda viwanjani kabisa. Mkuu heshimu michezo ya wengine kama hupendi Ndondo Cup usiangalie subiri wakiweka Kagame,La Liga angalia,sidhani kama wanaonesha Ndondo Cup 24hrs.
 
Elewa kinachozungumzwa
mtu akienda kutazama ndondo cup hakuna tatizo
hapa tunazungumzia big sports evnts za mtu kulipia tv kutazama...
hiyo miaka ya 90 kulikuwa na tv mnalipia kutazama ndondo cup?


Hivi ndondo cup inaonyeshwa 24hrs??!! Au hizo cups unazoona zinastahili kuonekana kwenye HD zinaoneshwa 24hrs??
 
Huna akili ukiona huhitaji ndondo cup change channel acha majungu hayakupeleki popote!

Twende na ukawa

kula kwa magufuli kura kwa ukawa
 
Pole sana hata hiyo dstv ina chanel yenye ndondo maana yake vipaji azam wana chanel nyingine sio ndondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…