Hii michuano ni mazuri sana kwa kukuza vipaji lkn ina mapungufu ambayo ninayaona
- Uwanja yaani kwa maana ya pitch sio mzuri hivyo clouds katika maandalizi yao na kwa vile wamepata wadhamini waliangalie hilo kutengeneza pitch angalau iwe katika standard.
- na kwa vile wanarusha live kwenye TV waboreshe ubora wa picha zinazorushwa .
Pamoja na kukuonyesha vijana pia ni burudani tosha