Naleta hoja hii kwenu wadau wa football tuijadili na baadae wafadhili wayafanyie kazi mapendekezo yetu.
Ndondo cup kwa uwezo wake Mwenyezimungu inazidi kuwa maarufu na inaibua vipaji,sasa ni kwa nini timu za nje ya DAR kama vile za mikoa ya karibu ie Pwani...Tanga...Moro..na mikoa ya kusini Lindi na Ntwara (MTWARA)zisishirikishwe...ili kupanuwa wigoooo....???
Nina imani wenyeji wa mikoa hiyo pamoja na viongozi kutoka iyo mikoa waliopo Dar wakiamua kuchangia timu zao ili ziweze kujimudu wakati wa mashindano inawezekana kabisa.
Mfano.....Mama yetu mpendwa Salma Kikwete afanye harambee kusaidia timu Ndondo kutoka Lindi....Aboud bus afanye hivyo hi vyo kwa timu ya Moro.....nk...nk..tutaweza kufanikiwa.Tuanze na mikoa ya karibu kwanza.
Nawasilisha....[emoji1]