Ndondo ndondola . . . katile

CPU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
3,858
Reaction score
687
Jamani . . .
Leo nimejisikia kupost ka wimbo ka kilugha kabila fulani hivi, wanapenda kukaimba wakati wa sherehe hasa harusi na sendoff . . . .
Yaani wanavyocheza wananiburudisha kweli mpaka raha, wahusika ongezeeni mengine basi

Ndondo ndondola . . . . katile
Ndondo ndondola . . . . katile

Uswe twesa . . . . katile
Magogondo . . . katile
Mwankemwa . . . katile
Mwasakuna . . . . katile
Andendekisye . . . . katile
 
Onyesha wanavyocheza basi!Au angalau ungetafsiri!
 
Onyesha wanavyocheza basi!Au angalau ungetafsiri!

Haya wife, njoo chumbani nikuonyeshe wanavyocheza . . . ila nitavaa suti yangu orijino niliyopewa na God
 
Haya wife, njoo chumbani nikuonyeshe wanavyocheza . . . ila nitavaa suti yangu orijino niliyopewa na God

Ndivyo wanavyocheza kwenye sherehe zao?
 
Ndivyo wanavyocheza kwenye sherehe zao?

Hawachezi na suti hizo ila mi ndo nitafanya hivyo kwa mara ya kwanza chumbani na wewe
 
jamani nimedata na mpira
Liverpool 2 - 0 Manchester United ( Half time)
 


Thanx mkuu!! You have made my day brighter. Umenikumbusha wimbo wa kwetu wa zamani sana ambao hata hivyo hauchuji. Uliimbwa sana wakati wa send-off na harusi ya binti yangu hadi waoaji (Wahaya) wakachanganyikiwa!!

Nijuavyo mimi maneno haya hayana maana (I stand to be corrected) au inawezekana ni maneno ya zamani ambayo maana yake imepotea due to language evolution.
 
angomwile....katile ndo
mwakipese....katile ndo
mwakibinga.......katile ndo
 
Liverpool 3 - 0 Manchester United ( 77 ")

Ntarudi wapendwa, nipo addicted na soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…