Ndondo ni bora kuliko TP Mazembe? Tunasafari ndefu sana kwa wachezaji wetu wa Kibongo

Kama timu yake hailipi wachezaji mishahara unategemea jamaa ataishije...wacha apige ndondo apate hela ya kula
 
Angalau apate hata ka hela ka kula,pale bwawa la jangwani hata hawalipwi stahiki zao,,
 
Kama timu yake hailipi wachezaji mishahara unategemea jamaa ataishije...wacha apige ndondo apate hela ya kula
Mo anawakopesha nyie mnachekelea, siku moja mtamuelewa Mzee Kilomoni na Bi Hindu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…