Ndondokela ya African league (AFL) ni tofauti kabisa na michuano ya Klabu bingwa Dunia (FIFA)

Huyu jamaa ukute kuna mzazi sehemu anajisifia kwamba amezaa jembe..[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Anawania tuzo ya mwanamichezo bora badala aweke point alizonazo simba na yanga Caf champions league ili twende sawa
 
Anawania tuzo ya mwanamichezo bora badala aweke point alizonazo simba na yanga Caf champions league ili twende sawa
Ni mbwiga fulani hivi..anaona kuanzisha nyuzi humu watu wanalipwa
 
Hapa ndipo Mungu alipoonesha ufundi wake katika uumbaji.

Akasema , wajinga (hamnazo) wote shabikieni Yanga na ikawa hivyo kweli.
 
Acha kuwa mjinga kwa jambo lililo wazi hata mwakani wakichukua team kila kanda simba itashiriki tena kwenye kanda yetu africa mashariki ,inaongoza kwenye ranking .
 
Acha kuwa mjinga kwa jambo lililo wazi hata mwakani wakichukua team kila kanda simba itashiriki tena kwenye kanda yetu africa mashariki ,inaongoza kwenye ranking .
Hawezi kukuelewa labda umpigie madebe masikioni.
 
We jamaa una shida mahali .
 
Kwa hiyo Simba kupoteza mechi moja na kutoa sare mechi mbili amepoteza matumaini ya ubingwa. Du kweli mwiko nyuma umekubana kisawa sawa.Titizo lenu ni wivu tu Simba alipokuwa anakusanya points rais wenu alikuwa anavaa jersey za timu pinzani,Sasa badala ya kujitahidi mfike hata robo mpate point nyingi mmekalia majungu.na msimu unaokuja hamfiki makundi mpaka 2038.
 
POLE SANA AYUBU FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…