Ndoo yako ya kuogea unaisafisha mara ngapi?

Ndoo yako ya kuogea unaisafisha mara ngapi?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Jamani kuna watu wanajisahau sana mtu unakuta ndoo ya kiogea mpaka imekua na rangi isiyoeleweka.

Unakuta mwingine ndio anadekia hiyo hiyo na haioshi mpaka inaweka ukungu, anaoga tu haoshi wala nini. Tukumhuke usafi wa ndoo za kuogea jamani.

1620126243122.png

Halafu mtu akipata fungus atatafuta mchawi.
 
Pale inapobidi kusafishwa kwa wiki mara mbili sio mbaya
 
Tunatofautiana style ya maisha na jinsi tuishivyo
Kuna mwingine anaogea mtoni hata hiyo ndoo hana
Mwingine sufuria[emoji1787][emoji1787] besen au mtungi[emoji28]
Wengine wanatumia shower
Inategemea na uwezo ulionao
Kabisa
 
Kuna mpangaji mmoja ni kada wa CHADEMA huwa nachekigi ndoo yake ya kuogea na huwa na tabia ya kuacha nje ya bafu aisee.

Ila si mlaumu yeye.
 
Back
Top Bottom