Baharia Mahaba
Member
- May 1, 2022
- 26
- 25
Wadau Eid Mubarak
Takribani karibia watu wote tukilala huwa tunaota ndoto.... Kuna zile za uongo na fix za kutosha kama vile kuota umeokota gunia la hela, yaani unyama mwingi mwaisa 😂😂😂 (kila mtanzania kaota hii ndoto) na zile za matukio ya kweli ambazo ukiota inatokea kweli.....
Sasa basi ni ndoto gani ambayo ushawahi kuota lakini mpaka leo inakuogopesha au ilitokea live mpaka hutamani hata kuikumbuka lakini ndo hivo inashindikana???