Poleni na majukumu wakuu.
Jana usiku usingizi uliwahi kukata nikajikuta nimeamka saa 7 usiku nikatulia na kutafakari mawili matatu ilivyo fika saa 9 usiku nikaanza kupata usingizi.
sasa ndoto yenyewe ni hii niliota nipo naelekea chooni ile tu naingia nikang'atwa na nyoka kwenye mguu wa kushoto tena kwenye kidole gumba.
Kiukweli sijui ina maana gani hii..
Msaada tafadhali.