Ndoto hii ina maana gani?

Ndoto hii ina maana gani?

BOFREE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
1,048
Reaction score
1,424
Wakuu habari

Naomba ufafanuzi huu nimeota nipo kwenye gari daladala nimekaa siti ya mbele na rafiki yangu mara gafla gari ikafunga break rafiki yangu akatolewa nje kwenye kioo kwa nje kulikua na mtu kagongwa na iyo gari kichwa kimevimba.
 
Kuna member aliwahi kuja kuomba ushauri kwamba.... ameota anajisaidia, lakini hakusema kilicho tokea baada ya ndoto...😜🤣
 
Hapo inamaanisha kuwa kazi au biashara yoyote mnayofanya kwa kushirikiana kwa pamoja katika maisha yenu mbeleni itatokea misukosuko ya rafiki yako kutenganishwa na wewe kwa sababu zisizo za msingi na atakaye fanya hivyo ni mtu ambaye alitengenezwa na rafiki yako mwenyewe.
 
Wakuu habari

Naomba ufafanuzi huu nimeota nipo kwenye gari daladala nimekaa siti ya mbele na rafiki yangu mara gafla gari ikafunga break rafiki yangu akatolewa nje kwenye kioo kwa nje kulikua na mtu kagongwa na iyo gari kichwa kimevimba.

Kwa tafsiri gari inasimamia Maisha na ajali inasimamia janga au tatizo kubwa. Hivyo muombee rafiki yako kwa dini yako maana anaweza kupata janga kwenye Maisha yake ingawa sio kifo lakini Jambo la kumtatiza. Hizi ndoto zipo.
 
Back
Top Bottom