Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Watoto wadogo ukiwauliza kwamba ukiwa mkubwa unataka kuwa nani? Utasikia vitu vingi sana ila ngoja akue sasa akutane na mwalim Dunia, wee utamkuta anachoma mkaa.
Story ya watoto inafanana na ya ndugu zetu kolokopo. Kipindi msimu unaanza walikua wanabwabwaja balaa, kwasasa naona kimya kimetanda sijui kimewakuta nini.
Kolokopo msimu ujao mpo loser's cup😂😂🥹
Story ya watoto inafanana na ya ndugu zetu kolokopo. Kipindi msimu unaanza walikua wanabwabwaja balaa, kwasasa naona kimya kimetanda sijui kimewakuta nini.
Kolokopo msimu ujao mpo loser's cup😂😂🥹