Hii imenitokea juzi kati wakuu nilikuwa na kifaa kipya ambacho nimekifukuzia takribani miaka 3 ndo juzi kati akaamua kuniachia nikague mali zangu huku nikimmwagia maahadi kem kem sasa siku hiyo nilikuwa nimekunywa sana kiasi cha kufanya ni uchape sana usingizi. Mchumba angu huyo akaniambia usiku wkt nimeuchapa usingizi akasema nilikuwa naota sweet vua basi kifuli na anadai kuwa nilikagua kidogo mewata zake sasa kila akiniangalia nimelala alafu naongea basi akaamua kunipa kibuti pale pale asubuhi lol ndoto zingine bana
Naomba nieleweshe kwa nini mtu anaota?
hehehe!Hii imenitokea juzi kati wakuu nilikuwa na kifaa kipya ambacho nimekifukuzia takribani miaka 3 ndo juzi kati akaamua kuniachia nikague mali zangu huku nikimmwagia maahadi kem kem sasa siku hiyo nilikuwa nimekunywa sana kiasi cha kufanya ni uchape sana usingizi. Mchumba angu huyo akaniambia usiku wkt nimeuchapa usingizi akasema nilikuwa naota sweet vua basi kifuli na anadai kuwa nilikagua kidogo mewata zake sasa kila akiniangalia nimelala alafu naongea basi akaamua kunipa kibuti pale pale asubuhi lol ndoto zingine bana
Pole Fidel,,lkn pamoja na hayo usisahau kiapo,,J3
WL heri ya mwaka mpya?? Hatuna chat room bwana toka mwaka uanze
mkuu umeharibu sanaHahahaha Mlokole kanitoa mkuku teh teh teh 3yrs nimefukuzia nimepewa nafasi nimeharibu lol
Ahsante kinacho niuma huyu kiumbe nimefukuzia 3yrs kanionjesha Mungu akanipiga kofi.
Kiapo kimeanza kwa unyenyekevu.