Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
nawaonea huruma sana maafisa wa baadhi ya AZAKI nchini walio husika moja kwa moja kupanga, kuratibu uchochezi, kutoa mafunzo ya kigaidi, vifaa vya mauaji na uharibifu na kutoa fedha kufadhili ghasia, vurugu, uharibifu na kusababisha maafa ya wananchi na watoto wasio na hatia,Baada ya lile jinamizi la Oktoba 29, watu wangi walioto ndoto za kutisha
Kuna waliowaona polisi kadhaa wakifungwa magereza kwa makosa yasiyo ya kwao,
Kuna waliolia kilio na kuomboleza ndotoni huku wakilikumbatia na kulibusu jeneza la kiongozi mmoja mkubwa sana
Kuna walioota wakiona mamlaka za watawala wa nchi wasiyoijua zikiyumba, viongozi wakivurugana, kuzushiana maneno na hata kudhalilishana hadharani
Lakini, katika zote kuna ndoto iliwasumbua sana watawala wa nchi isiyojulikana ya kuwatia hatiani wanaowasumbua na kuhakikisha wanafia magereza na wafuasi wao kusambaratika
Kila walipoota ndoto hii, kwasababu waliiota wote kwa pamoja asubuhi waliweka vikao vya majadiliano na kutafuta suruhisho la ndoto hiyo
Hatimaye wamepata wanachokiona ndo suruhisho! Kutengeneza mashitaka mazito mazito dhidi ya kila wanayemuhisi hayuko upande wao
Ndio, ni hakika na kweli kwao hilo ndio suruhisho waliloliona na katika kulitekeleza hawataona taabu kuwatoa kafara baadhi ya waliokuwa miongoni mwao. Ndio, usipotoa kafara utaaminikaje?
Mbuzi wa kafara wajiandae kisaikolojia watasurubiwa pamoja na hao waliolengwa
Ndoto ya muda mrefu ya kulisambaratisha kundi kubwa linaloaminika na kukubaliwa na wengi, wameshaihamishia kwenye mchoro wa makaratasi
Swali la msingi, wamepiga mahesabu yao vizuri? Wame "calculate the risks na wako tayari kuzi handle?
Sasa kumekucha na kumekucha na tume pacha ya ile ya Chande
Akili hauna, aliyekuzaa anajipa moyo kwamba alizaa binadamu kumbe hakujua alizaa nyang'au mwenye sura ya binadamu.nawaonea huruma sana maafisa wa baadhi ya AZAKI nchini walio husika moja kwa moja kupanga, kuratibu uchochezi, kutoa mafunzo ya kigaidi, vifaa vya mauaji na uharibifu na kutoa fedha kufadhili ghasia, vurugu, uharibifu na kusababisha maafa ya wananchi na watoto wasio na hatia,
huenda saivi wapo Pressure inapanda pressure inashuka, dah! Sijui itakuaje [emoji205]
muerevu relax na utulize mihemko nonsense na porojo zako useless,Akili hauna, aliyekuzaa anajipa moyo kwamba alizaa binadamu kumbe hakujua alizaa nyang'au mwenye sura ya binadamu.
Pole sana kwa aliyepata tabu ya kulea mimba miezi tisa na malezi ya utoto juu, maskini walikulea vizuri wakiamini utakuja kuwa mtu kumbe hawakujua wanapoteza muda wao bure
Laiti kama wazazi wangepewa uwezo wa kuona mbele watoto wao watakuwaje, kondom zingeadimika sana sokoni
to every action there is reaction which is equal to that action, huko ni kuharibu zaidi kuliko kutengeneza na kuponya taifaLakini, katika zote kuna ndoto iliwasumbua sana watawala wa nchi isiyojulikana ya kuwatia hatiani wanaowasumbua na kuhakikisha wanafia magereza na wafuasi wao kusambaratika
Chawa, muda wenu wa kutolewa kafara umefika, tulikuambia thamani yako ni kama toilet paper ukabisha, RIP Gentlemannawaonea huruma sana maafisa wa baadhi ya AZAKI nchini walio husika moja kwa moja kupanga, kuratibu uchochezi, kutoa mafunzo ya kigaidi, vifaa vya mauaji na uharibifu na kutoa fedha kufadhili ghasia, vurugu, uharibifu na kusababisha maafa ya wananchi na watoto wasio na hatia,
huenda saivi wapo Pressure inapanda pressure inashuka, dah! Sijui itakuaje π
to every action there is reaction which is equal to that action, huko ni kuharibu zaidi kuliko kutengeneza na kuponya taifaLakini, katika zote kuna ndoto iliwasumbua sana watawala wa nchi isiyojulikana ya kuwatia hatiani wanaowasumbua na kuhakikisha wanafia magereza na wafuasi wao kusambaratika
r.i.p lofa mfuata mkumbo in advance na ramli zako nonsense πChawa, muda wenu wa kutolewa kafara umefika, tulikuambia thamani yako ni kama toilet paper ukabisha, RIP Gentleman