Izizimba
Senior Member
- Jan 23, 2017
- 143
- 382
Nikiwa pembezoni mwa kingo za shimo refu (valley), ghafla nikawa naona kwa uoni hafifu, nikashuhudia shimo kama limekuwa sawa (level) na sehemu niliyokuwa nimesimama.
Kwa kuhofia kuangukia kwenye lile shimo, nikageuka ili nitoke kwenye maeneo hayo. Nilipogeuka, nikamuona Humphrey Polepole akiwa na msafara kama kiongozi wa nchi.
Ghafla, Humphrey Polepole alianza kukimbia haraka haraka huku akipanda ngazi za ghorofa, na hapo ndipo nikaamka kutoka usingizini.
Wataalamu wa ndoto naomba kufahamu hii ndoto inamaanisha nini.