Ndoto Inayonichanganya

Izizimba

Senior Member
Joined
Jan 23, 2017
Posts
143
Reaction score
382
Nikiwa pembezoni mwa kingo za shimo refu (valley), ghafla nikawa naona kwa uoni hafifu, nikashuhudia shimo kama limekuwa sawa (level) na sehemu niliyokuwa nimesimama.

Kwa kuhofia kuangukia kwenye lile shimo, nikageuka ili nitoke kwenye maeneo hayo. Nilipogeuka, nikamuona Humphrey Polepole akiwa na msafara kama kiongozi wa nchi.

Ghafla, Humphrey Polepole alianza kukimbia haraka haraka huku akipanda ngazi za ghorofa, na hapo ndipo nikaamka kutoka usingizini.

Wataalamu wa ndoto naomba kufahamu hii ndoto inamaanisha nini.​
 
Umekula lakini? Jitahidi ulale ukiwa umeshiba!
 
Kama
Kama ni Humphrey hakuna Cha maana hapo ,,maana tuliona uongoz wake enzi za magu. Tuliona uovu wake na biashara ya kununua wapimzani ,Kwa ivyo hakuna ndoto hapo inayoweza kua ya kwel
 
Kama
Akiwa kingoz nchi itadumbukia kweny ilo shimo refu na yy atakimbia nchi zingne akaishi tukisha dumbukia shimon
 
Umeona yasiyoonekana, mapishi yanaendelea, ugali ukiiva tutaketi chini tule chakula Kwa furaha kilichoopikwa na mama Tz!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…