mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Hatumkatai beberu kama beberu; bali tunapinga matendo yao dhidi yetu. Kama kuna mazuri wanayofanya, hatuna sababu ya kutoyafanya kama yana umuhimu kwetu. Kuhusu kutotumja mfano wa miji ya China ni kwamba lazima mfano ama kielelezo kisadifu maarifa majumui (general knowledge) ya wahusika.
- Generally ni Tanzania kuwa kama Ulaya
- Arusha kuwa Calfonia
- Kigoma kuwa lango la biashara Maziwa Makuu
- Mbeya kuwa Chicago
- Dar kuwa Birmingham
- Tabora kuwa Toronto
- Zanzibar kuwa Dubai
- Dodoma kuwa kama San Fransico
- Singida kuwa kama London
- Mwanza kuwa lango la biashara
- Tanga kuwa kitovu cha Biashara ya Mafuta
- Bagamoyo kuwa lango kuu la Uchumi wa Bahari
Hatutaki ubeberu nchi hii, ila tunataka tufanane na wao. Kwanini usiwe kama Beijing au Shanghai? Hubei au Pyongyang je?
Inaonekana Kuna baadhi ya watu wanavuta bangi kisiri