Ndoto: Mganga maarufu kule kwetu kanipa kikombe cha damu ninywe

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Habari za majukumu Wana wa JF.

Nimeota ndoto juzi usiku, Mganga maarufu kule nyumbani kwetu ananikabidhi Kikombe cha damu ninywe.

Sijajua damu ya nini ila niliona Kama ina mchanganyiko wa maji ndani yake.

Sikumbuki vizuri Kama niliionja damu au laahh. Nachokumbuka ni kuwa ndoto iliisha niliposhutuka. Kwa Sasa nipo mbali Sana na Mganga huyu wa kienyeji (Sangoma).

Je, ndoto hii yamaanisha nini?
 
Nyie watu mnaokuwa mnaota ota mandoto mengi mengi kila mara kuna siku mtaumbuka

Kuna demu nae alikuwa anaota ota sana mandoto ya ajabu ajabu mengine ya ukwel,juzi kati hapa kaota anakojoa kakojoa kojo la hatari tena jingi kama la kusquirt yaan lilikuwa na presha ya ajabu afu jingi hatari,afu demu mwenyew mzur balaaa
 
Duuuhh
 
Duuuhh
 
Ndoto hiyo sio nzuri. Inaashiria kuingizwa katika ulimwengu wa wachawi. Ni kawaida kwa wanaingizwa (initiates) kunyweshwa damu na kulishwa nyama za watu. Hivyo mtafute mtumishi wa kweli wa Mungu akusaidie.
 
Kunywa usibe na utuletee mrejesho
 
Naomba namba zake
 
Ndo umeamua uje unitangazee[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sijawahi kwenda kwa Mganga yeyote. Huwa siamini mambo hayo.
...Sasa Umemjuaje huyo Mganga Mpaka Umemuita ??... Umemjuaje kwamba Huyu niliyemuota ni Mganga Mkubwa ?? [emoji848][emoji848]
 
...Kwa hiyo ?? Kuota Kojo jingi ni Nini?? ...
 
Kaazi kweli kweli walahi [emoji16]
 
Ndoto hiyo sio nzuri. Inaashiria kuingizwa katika ulimwengu wa wachawi. Ni kawaida kwa wanaingizwa (initiates) kunyweshwa damu na kulishwa nyama za watu. Hivyo mtafute mtumishi wa kweli wa Mungu akusaidie.
Amen, ntafanya hivyo
 
...Sasa Umemjuaje huyo Mganga Mpaka Umemuita ??... Umemjuaje kwamba Huyu niliyemuota ni Mganga Mkubwa ?? [emoji848][emoji848]
Huwa namwona, namfahamu kama mtu Mwingine tu. Sijawahi kuitumia huduma yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…