Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Wanabodi husika na kichwa cha habari hapo juu, kumekuwa na watu wengi (sio wote) ambao wangependa kupata tafsiri za ndoto mbalimbali, walizoota au wanazoota, na ni matumaini yangu kuwa humu jamvini wapo wenye uelewa wa tafsiri za ndoto mbalimbali.
Basi karibuni tupeane uzoefu wa maswali na majibu ya ndoto mbali mbali,mimi naanza kwa kuuliza; Ukiota unakimbizwa na watu halafu ukaanza kupaa juu bila wao kukufikia ndoto hii ina maana gani?
Basi karibuni tupeane uzoefu wa maswali na majibu ya ndoto mbali mbali,mimi naanza kwa kuuliza; Ukiota unakimbizwa na watu halafu ukaanza kupaa juu bila wao kukufikia ndoto hii ina maana gani?