storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Kila mtu huwa anaota na inawezekana kuna wakati mtu unaeza pitisha siku kadhaa hujaota, unalala muda fulani na kushangaa paap, ushaamka.
Sema sasa kwa kweli kuna ndoto zingine ni uongo uliopitiliza, zinaanza vizuri tu baada ya muda narration inabadilika kabisa, hakuna contiunity, yani unakuta labda umeota uko na dem labda alibeba kitu fulan mnatembea, mara mkafika mahali kile kitu sjui kakiacha wapi make unaona kabisa ile scene haijaisha inaendelea, mara paap tayar mko mna kulana.
Ndoto ya leo malaika muandishi amezingua pakubwa sana, make nmeota natembea zangu mara mrembo kanishika mkono, nikatabasam na kumuelewa nliona kabisa ana mfuko wa vitafunwa[emoji3] na akanikaribisha kabisa, alivaa hijab.
Tunakaribia mahali kuna majirani zangu tunaheshimiana nikawapita bila kusalimia, tukabadili uelekeo akanmbia kabisa alipanga mwanaume atakaekutana nae leo hamuachi, atamganda, me nikamfuata tu.
Lakin mara muendelezo unabadilika tunatembea sehem tulivu karibu na korongo, ye ako slim keupe ka sura nzurii, kamevaa suruali ila hakana tena lile trako kama mwanzo[emoji2357]
Tunatakiwa kuvuka upande wa pili, tukavuka, ile tunaanza kupandisha upande wa pili nkamuambia usipite uko unazama kwe tope, ile ananifata mara mbele yetu kwenye ile edge tunayopandisha kuna jengo flan la kisasa sana ila linaonekana limetelekezwa miaka mingi. Nastuka kuwa hilo eneo lina vibaka namwambia asipige kelele, tunarudi mbio, mara anaonekana keshakua kibonge, tunakimbia namuweka begani kumpandisha ile edge tuloshukia.
Mara paap ile edge imekua km ukuta yan kilima chake kimesimama. Yeye anafanikiwa kuvuka, wakati vibaka wameanza kuja. Mara kamekua tena kembamba kakawa hakataki kunivuta kwa mkono make me sifikii, cha kushangaza kuna manyavu sijui ata yametokea wapi. Nikapanda kuvuka[emoji1781].
Eti nako ndo kananiuliza uko sawa, na kananisaidia kunifuta vumbi. Tunaondoka mara paap naona kumbe nlidondosha coin ya jero pale kwe edge. Ile naiokota kuinuka tu, paap uso kwa uso na vibaka, mazingira yamebadilika, yule dem simuoni af kwanza ni mjini.
Malaika muandishi wa leo kazingua sana. Ingawa sijajua alimaanisha nn katika hii narration.
Labda wazee wa kufungua code(wataalam wa ndoto na uchawi msaidie)
mzizi mlaini
Mshana Jr