Nashangazwa sana ndoto nazoota,kuna wakati nawaota watu ambao nawajua,lani kuna wakati nawaota watu ambao sijawahi kuwaona hata siku moja,na sina uhusiano wowote nao.Wajuzi hebu nitoeni tongotongo,ndoto ni nini?
Ubongo unaweza kubuni sura mpya kabisa kulingana na sura ambazo tayari ulishaziona, ndio maana unaweza kuchora picha ya sura ya mtu ambae wala hayupo kabisa na ikaonekana ni sura ya mtu tu.