Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
Usiku wakati nimelala nimeota nafanya kazi sehemu ya hatari sana, sikujua ni floor ya ngapi lakini ilikuwa juu sana, pia kama ningefanya uzembe ningeanguka na matokeo yake yangekua mabaya sana. Sasa, naomba kwa ambaye anaweza kuwa na maana ya ndoto hii sababu kila ndoto huwa ina maana yake tatizo ni jinsi ya kuipambanua.
Ahsanteni!
cc Pasco Ishmael Kiranga mshana jr Rakims na wengineo wote!
Ahsanteni!
cc Pasco Ishmael Kiranga mshana jr Rakims na wengineo wote!