LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Ahahahah...mimi kaka ako sinaga ujinga ujinga nina mazonge mazonge tu nayo siambiagi mtu. Kama CIA vile nikikueleza kitu ambacho kwako uaona siri basi ujie ishapita miaka 10 so na declassify tu operations ambazo hazina madhara πHuna yule rafiki mnaeendana ujinga?
Lazima mfanane.
Anavokusimulia sio kwa kuongea, bali ni kama anakizoa kilichomsibu anakuwekea kichwani.
Huyu ni rafiki kama ndugu. Ujinga wote ninaofanyaga hakuna asichokijua, na yeye ujinga wake wote lazima aniambie. Yaani huyu jamaa hata siku ikitokea nikawa raisi hawezi niheshimu. Tunaufala mwingi sana. ,π
Toa habari kwa wakati upate habari kaka. πAhahahah...mimi kaka ako sinaga ujinga ujinga nina mazonge mazonge tu nayo siambiagi mtu. Kama CIA vile nikikueleza kitu ambacho kwako uaona siri basi ujie ishapita miaka 10 so na declassify tu operations ambazo hazina madhara π
Shida inakuja mimi sina haja na habar za mtu. Kila mtu abaki na za kwake. Usinipe zako ukitaraji nikupe zanguToa habari kwa wakati upate habari kaka. π
Ninaamini wale madereva wakigonga raia wanakimbilia polisi kujisalimisha kuwa "Nimeua", bado wapo karne hii. Sasa yakupasa uwe hao.
Ni sawa kaka, kuna zile habari nyeti hizo huwa hazitoki kabisa. πShida inakuja mimi sina haja na habar za mtu. Kila mtu abaki na za kwake. Usinipe zako ukitaraji nikupe zangu
Watu wa hovyo sana hawa siwapendi hata kidogo. Yan siwatak hata kwa mbaliKuna watu hawawezi kujitetea bila kuwahusisha watu wengine. π