NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Duuh
 
Then what has transpire,d?
 
Mwanasheria mzima ukaunga mkono ubatili?
ubatili upi?
Halafu miaka 4 mbele ukaja tena kusema mama Abdul ni mpango wa Mungu.
Kwani ni mpango wa nani?。
Ni Mungu alimleta JPM
Ni Mungu alimtwaa JPM
Ni Mungu amemleta Mama!。
Na kama amempangia kuendelea,then 2025 ni mitano tena kwa Maza,na ni Mama tena!。
P
 
ubatili upi?
Unadvocate removal of term limit.

Kwani kulikuwa na ulazima gani wa kusema Magufuli aongezewe miaka zaidi ya 10 iliyoandikwa kwenye katiba ?
Kwani ni mpango wa nani?。
Samia hajachaguliwa hivyo sio mpango wa yoyote, she is there by default, kwangu ni rais wa mpito ilitakiwa rais akifia madarakani uchaguzi ufanyike baada ya siku 90 kama watu walivyoweka mapendekezo issue ya kurithi inaweza kuwa risk namba 2 ammalize 1 akijua atachukua kijiti.
Ni Mungu alimleta JPM
Labda mungu wa Chato au Burundi.
Ni Mungu alimtwaa JPM
Alifariki kwa atrial fibrillation , iliyochagizwa na complication za Covid -19 , alikuwa baba haambiliki licha ya kuwemo katika makundi hatarishi yanayoweza kushambuliwa na kupoteza maisha kirahisi kwa Covid -19[ makundi haya yalitajwa kabisa na wataalam] yeye alikuwa anafanya ziara na mikusanyiko huku akihamasisha watu wasivae barako akidai ndio zimebeba virusi.
Ni Mungu amemleta Mama!。
Sio kweli, huyu karithi kiti tu akisaidiwa na Mabeyo , wahuni kutoka Ruangwa, Karagwe na Kongwa walikuwa washampiga mama yenu goli la kisigino , mungu haleti viongozi wananchi ndio wanaopiga kura huyo mungu hapigi kura yoyote ingekuwa hivyo basi duniani kote basi mungu ndio tungekuwa tubasubiri apige kura sisi tunapokea uongozi na watu wasingegombea na kunadi sera zao wapigiwe kura.
Na kama amempangia kuendelea,then 2025 ni mitano tena kwa Maza,na ni Mama tena!。
P
Ni haki yako kusema mitano tena , maana pia ni sehemu ya green pasture kwako , saa hizi unalamba tenda za kutosha na PR husumbuliwi influence kubwa uliyokuwa nayo toka utawala wa Ben na huu wa sasa unafanya unapepea wengine hatutegemei hayo kama tuliweza kuja ugenini na tukaanza moja na kusimama hatuhitaji technical know who bali technical know how ndio inafanya tuendelee kuwepo kwa miaka mingi ambapo wewe ulipakimbia , ila jua una deni katika reputation yako uliyoijenga kwa miaka zaidi ya 30 umekuja kuiangusha mwenyewe hivyo huna wa kumlaumu.
 
Ndoto au upuuzi wa kupangwa?

Saizi umeota nini kuhusu awamu ya 6?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…