NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Mimi sina neno baya na Mwamba, hivyo, sina haja ya kusoma hiko kutabu... wewe nakuuliza uniambie maana kutwa kucha ni shutumu tu....
Kama huna baya na huyo marehemu basi weka makalio yako chini. Aliyevaa kiatu ndiye anajua maumivu ya kubanwa
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Tatizo mleta mada naye last seen yake since 2018 sijui alipatwa na nini ndugu yetu huyu
Yuko kwa ID nyingine, ndugu zetu 'watabiri' si salama kukaa na ID moja kwa muda mrefu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…