KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Una matatizo...tafuta psychologist kwa msaada zaidiNilikua na mpenzi wangu, baada ya kwenda round kadhaa, tulipitiwa na usingizi. Cha ajabu niliota nafanya mapenzi na demu mwingine na nikap*izi kabisa na kuchafua mashuka. Sasa wakuu hii ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume?
umezidi umalaya, unataka kupata msaada kuhusu umalaya wako? acha uzinzi na uasherati
msaidieni mwenzio mbona umempa maneno makali kumbuka ni ndoto tu