Ndoto ya Haruna Moshi Boban Yatimia

Ndoto ya Haruna Moshi Boban Yatimia

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Ndoto ya muda mrefu ya kiungo fundi Tanzania mwenye Kipaji cha kuzaliwa Haruna Moshi Boban kukipiga ndani ya klabu kongwe na yeye historia ya kipekee Afrika "YANGA" imetimia

Mpaka sasa dk ya 10 Yanga na Tukuyu kombe la Azam matokeo yakiwa na Sifuri bin sifuri Haruna Moshi ndani ya Uzi makini wa Yanga ameanza ndani ya dk 45 za kwanza akipambana vizuri na kulishika dimba la kati vizuri.

Boban mchezaji mzuri ila tuna tabia ya kuwazeesha wachezaji wetu na kuwakatisha tamaa.

Karibuni boban ndani ya chama la wananchi Yanga.
 
Dk ya 15 Injinia tambwe keshasoma vipimo huku
Yanga 1 Tukuyu 0
 
Wanachapa tu hata hizi timu ndogo ndogo
 
Ndio inachezwa sasa na naona Tukuyu Stars wapo chini ya udhamini wa dada yetu kipenzi Tulia Trust
 
Dingilai mambo ya vyura yametoka wapi tena.

Mimi nazungumzia kiwango cha Haruna na ndoto yake ya muda mrefu kukipiga Yanga.
 
kweli mkuu ni usingizi wake wa muda mrefu tumuache alale
 
Back
Top Bottom