Ndoto ya muda mrefu ya kiungo fundi Tanzania mwenye Kipaji cha kuzaliwa Haruna Moshi Boban kukipiga ndani ya klabu kongwe na yeye historia ya kipekee Afrika "YANGA" imetimia
Mpaka sasa dk ya 10 Yanga na Tukuyu kombe la Azam matokeo yakiwa na Sifuri bin sifuri Haruna Moshi ndani ya Uzi makini wa Yanga ameanza ndani ya dk 45 za kwanza akipambana vizuri na kulishika dimba la kati vizuri.
Boban mchezaji mzuri ila tuna tabia ya kuwazeesha wachezaji wetu na kuwakatisha tamaa.
Karibuni boban ndani ya chama la wananchi Yanga.