Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Yule fisadi!Japo Magu aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tz imefanikiwa kuwa a Donor Country.
Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine.
Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k.
Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja wake huko alipo.
Watoto wanakufa njaa nyumbani unatoa misaada kwa matajiri wa Ulaya?!Japo Magu aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tz imefanikiwa kuwa a Donor Country.
Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine.
Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k.
Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja wake huko alipo.
Mwamba nawe umeshaingia kichwakichwa, nahisi mwenzio yupo katika uwasilishaji wa kifasihi ya hali ya juu sana.Alikuwa na maono ya mbele zaidi japo kuna nguvu inatumika kuficha mema yake na kufichua mabaya yake pekee.
Mkuu umesahau ule usemi usemao kutoa ni moyo siyo utajiriWatoto wanakufa njaa nyumbani unatoa misaada kwa matajiri wa Ulaya?!
Kuficha mazuri ya jpm ni kitu kisichowezekana,ni mda tu,subiri kipindi cha kampein,usiopolitaja jina la jpm,wewe ni by by.Alikuwa na maono ya mbele zaidi japo kuna nguvu inatumika kuficha mema yake na kufichua mabaya yake pekee.
Kosa ni jk au la jpm?. Akina jpm ilibidi watafute mtu aina ya jpm ili kuiokoa ccm.na hakuna kipindi kilikuwa na utawala wa hovyo na wa kipumbavu kama kipindi cha kikwete,nchi ilijaa majizi na mafisadi,watu walikuwa wanabeba hela kwenye magunia.kwa hiyo ilikuwa haikwepeke kuyasema hayo.Mwamba nawe umeshaingia kichwakichwa, nahisi mwenzio yupo katika uwasilishaji wa kifasihi ya hali ya juu sana.
Halafu hii tabia ya kulalamikia wanaojikweza muasisi si yeye mwenyewe au?!!!!! Hivi aliponda mara ngapi na waziwazi ya JK?!!! Tuache unafiki bwana, ndo siasa zilipofikia sasa.
Sawa kiongozi, wenu hajaiba.......alikuwa mwema balaa!! Kikwete hajafanya lolote nchi hii.Kosa ni jk au la jpm?. Akina jpm ilibidi watafute mtu aina ya jpm ili kuiokoa ccm.na hakuna kipindi kilikuwa na utawala wa hovyo na wa kipumbavu kama kipindi cha kikwete,nchi ilijaa majizi na mafisadi,watu walikuwa wanabeba hela kwenye magunia.kwa hiyo ilikuwa haikwepeke kuyasema hayo.
Tutembee vifua mbereee 🤣🤣🤣Japo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country.
Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine. Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k.
Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja wake huko alipo.
Japo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country.
Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine. Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k.
Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja wake huko alipo.
Tuendelee na ujenzi wa matundu ya choo Kwa Msaada wa zile za UVIKO.Japo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country.
Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine. Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k.
Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja wake huko alipo.
Typical RubbishJapo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country.
Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine. Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k.
Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja wake huko alipo.