Jamani naombeni mnisaidie sidhani kama nimepost kwenye jukwaa husika lakini kuna ndoto imenichanganya nmeota kwamba,nmejifungua mtoto hospitali lakini akawa katika uangalizi cha kushangaza nilijufungua mtoto wa kiume lakini akabadirishwa akawekwa wa kike nikawa napiga kelele wodini kutaka kujua mtoto wangu yuko wapi kaibiwa.
Je, hii ndoto inamaana gani maana niliamka na maumivu makali, je kunamaanisha nini? Na alienibadilishia ni Nani?na kwa sababu zipi? Na kwanini kutoka wa kiume hadi wa kike? Kwa sababu zipi? Naomba mnisaidie.
Soma Pia: Nimeota nimeua simba halafu watu wakaninyanyua juu na kunishangilia kama shujaa, ndoto hii ina maana gani?
Asanteni