Ndoto ya kurudi tena masomoni, huwa inamaanisha nini?

Ndoto ni kile kinachoujaza ubongo wako

ukiwaza waza shule utaweza jikuta hata umeota umekua head master

Ukiwaaza waza kifo daily ndoto zako utaota upo makaburini au unaenda mzika fulani

Ukiwa na chuki na flani na unamchukia ndoto yako itakua kama sio siku 1 umepigana na huyo mtu

itakua kaja kakufanyia vurugu,nk nk

Ndoto ni kiooo cha picha ya ubongo wako unachowaza.
 
Leo nimeota nipo darasani nipo na classmate wa shule ya msingi.

Uzuri sichukulii ndoto serious...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…