Infiltrator
Senior Member
- May 13, 2017
- 126
- 227
Sijawahi kusheheresha tukio lolote, nimeamua kujifunza Uandishi wa habari kwa dhumuni la kupata ujuzi ambao utapelekea Mimi kutimiza ndoto yangu.Tupe CV ya ushereheshaji wako so far.
Kwa kifupi tu.
Mkuu sina nia ya kukatisha tamaa, ila hicho unachokitaka huwezi kuanza kwa kujifunza darasani.Sijawahi kusheheresha tukio lolote, nimeamua kujifunza Uandishi wa habari kwa dhumuni la kupata ujuzi ambao utapelekea Mimi kutimiza ndoto yangu.
Naomba unishauri Mr Daudi Mchambuzi