Ukweli ni kwamba, ndoto ya masikini siku zote hazinaga mpangilio mzuri, unaweza lala ukaota unamiliki banda la kuku, lakini baada ya muda mchache banda hilohilo la kuku linakukimbiza.
Huja kaa sawa unaota upo mgodini huku ukiwa na kiroba cha dhahabu, hukutaka kujua hatma ya ndoto ya kiroba cha dhahabu unastukia unafukuzwa na kondoo kubwa hatari.
Yaan ili mradi tu iwe taflani, kwakweli muda mwingine hatutaman hata kuota hizi ndoto