Ndoto ya pete inamaana gani

Ndoto ya pete inamaana gani

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Nimeota nimevalishwa pete ya uchumba.

Ila kama hainitoshi, inadondoka.

Naitafuta naipata navaa tena.

Nikijisahau inavulika inadondoka.

Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.
 
Waganga na wachawi hawataki maendeleo ya watu. Hapo hawataki upate mume hivyo hukujia kwa njia ya ndoto na kukufungisha ndoa na majini, wao wanaita jini mahaba au subiani au Tiyara.

Kama wewe Ni Mkristo, Unapoota ndoto yeyote ya kuvalishwa Pete, ikemee Sana kwa jina lake Yesu.
 
shukrani
 
Lakini pia maybe hauko tayari to be in a relationship. Maana pete haikutoshi means ndoa ni big subject kwako bado hivyo kuna kujifunza na marekebisho unayotakiwa ujifanyie wewe kama wewe kwanza ili ukishaingia ndani ya mahusiano uende sawia na jins vile Mungu anataka uwe.
May the Holy Spirit give you the real meaning
 
  • Thanks
Reactions: THT

Shukrani
 
Nimeota nimevalishwa pete ya uchumba.

Ila kama hainitoshi, inadondoka.

Naitafuta naipata navaa tena.

Nikijisahau inavulika inadondoka.

Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.
Mimi si mtaalam wa tafsiri za ndoto, ila nijiuavyo ni kwamba mwanamke akijiona akiondoa pete yake ya harusi katika ndoto, inamaanisha kifo cha mumewe au cha jamaa wa karibu.
 
Back
Top Bottom