Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
shukraniWaganga na wachawi hawataki maendeleo ya watu. Hapo hawataki upate mume hivyo hukujia kwa njia ya ndoto na kukufungisha ndoa na majini, wao wanaita jini mahaba au subiani au Tiyara.
Kama wewe Ni Mkristo, Unapoota ndoto yeyote ya kuvalishwa Pete, ikemee Sana kwa jina lake Yesu.
ShukraniLakini pia maybe hauko tayari to be in a relationship. Maana pete haikutoshi means ndoa ni big subject kwako bado hivyo kuna kujifunza na marekebisho unayotakiwa ujifanyie wewe kama wewe kwanza ili ukishaingia ndani ya mahusiano uende sawia na jins vile Mungu anataka uwe.
May the Holy Spirit give you the real meaning
Mimi si mtaalam wa tafsiri za ndoto, ila nijiuavyo ni kwamba mwanamke akijiona akiondoa pete yake ya harusi katika ndoto, inamaanisha kifo cha mumewe au cha jamaa wa karibu.Nimeota nimevalishwa pete ya uchumba.
Ila kama hainitoshi, inadondoka.
Naitafuta naipata navaa tena.
Nikijisahau inavulika inadondoka.
Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.
Mbona hatariMimi si mtaalam wa tafsiri za ndoto, ila nijiuavyo ni kwamba mwanamke akijiona akiondoa pete yake ya harusi katika ndoto, inamaanisha kifo cha mumewe au cha jamaa wa karibu.
Ndio tafsiri.Mbona hatari
Una jini mahaba,nitafute nikuombeeNimeota nimevalishwa pete ya uchumba.
Ila kama hainitoshi, inadondoka.
Naitafuta naipata navaa tena.
Nikijisahau inavulika inadondoka.
Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.