Ndoto ya Simba kumnasa Niyonzima yaota mbawa!

Inawezekana kuna ukweli katika hili, ila tunaomba mtoa mada utuwekee official statement ya club ya simba inayosema haruna amesajiliwa na simba
Hakuna kitu kama hicho,Yanga ndio wametoa official statement ya kumtakia safari njema
 
Hakuna kitu kama hicho,Yanga ndio wametoa official statement ya kumtakia safari njema
Nalifahamu hilo ndio maana nataka huyu mtoa mada authibitishie umma kwamba uongozi wa simba Umewahi kusema lolote kuhusu haruna, vinginevyo aombe radhi
 
Tumabke kwa nn mnaendelea kuchoma jezi?? Na msuva akikaa vibaya tunamng'oa na Ngoma vile vile
 
Nalifahamu hilo ndio maana nataka huyu mtoa mada authibitishie umma kwamba uongozi wa simba Umewahi kusema lolote kuhusu haruna, vinginevyo aombe radhi
Yes,Mimi nilimsikia kaburu akidai kumtaka huyo boya
 
Habari mbaya sana kwa wa mchangazi..zile jezi mkapigie deki
 
Marlex Jr El said:
Yaani waziri na mbunge wamfuate yy usiku usiku toka tz hadi rwanda...?
Tupe source ya habari.
Si umeshaambiwa ni radio Rwanda,nenda katyuni marudio yake.
 
Kama Mwigulu atakuwa kaenda Rwanda akaacha askari wanauliwa Kibiti, hana budi kuwajibika kwa hili.
Ya Kibiti yashakuwa juu ya uwezo wake ndiyo maana kaomba msaada kwa Jwtz ambao Waziri wao ni Mwinyi,that's why CDF muda wowote atakuwa kule.Sasa unataka aende akafanye nini kwa kazi iliyopewa rufaa!?.Safi Mwigulu Nchemba,nasema chapa kazi!!
 
It is not done until it's done!
Tusubiri tuone. Lolote laweza kutokea.
Msishangae Okwi kutua Yanga.
 
Kiukweli kutoka Moyoni Niyonzima kasababisha ule Ugonjwa wa matatizo ya Akili kwa WanaVyura Fc...Tukiendelea hvi msishangae msimu unaoanza pale uwanja wa taifa kukageuka Kiwanda cha Makopo [emoji23]
 
Kiukweli kutoka Moyoni Niyonzima kasababisha ule Ugonjwa wa matatizo ya Akili kwa WanaVyura Fc...Tukiendelea hvi msishangae msimu unaoanza pale uwanja wa taifa kukageuka Kiwanda cha Makopo [emoji23]
Miaka minne hatukuona Kiwanda cha Makopo. Mwaka wa tano huo unakuja no VPL cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…