Ndoto ya Simba kumnasa Niyonzima yaota mbawa!

Kuna wanayanga week hii wamechoma jez zake moto,hapo hapo unaambiwa hawana haja nae. Hawa watu ni wanafiki sana.
 
Simba sio wajinga watangaze wamemsajili wakati bado yupo na mkataba na yanga.
 
Naweza kuamini baadhi ya maneno lakini hilo la waziri na mp kusafiri tena usiku sikatai ila siamini kwa hilo
 
Yaani waziri na mbunge wamfuate yy usiku usiku toka tz hadi rwanda...?
Tupe source ya habari.
Rizmoko alimkimbia jpm pwani akaenda kwa niyonzima rwanda huku nchemba akiacha kuumiza kichwa ya kibiti akienda kumbembeleza niyonzima rwanda, dah!
 
Kama Mwigulu atakuwa kaenda Rwanda akaacha askari wanauliwa Kibiti, hana budi kuwajibika kwa hili.
Anza wewe kuwajibisha ubongo wako. Anajua hata kushika bunduki huyo? Wakati mwingine muache cheap politics. Habari za mwanasiasa kupanda Daladala Siku moja halafu akahesabiwa kuwa anawajali wanyonge. Fake politics for the simple minded.
 
Nalifahamu hilo ndio maana nataka huyu mtoa mada authibitishie umma kwamba uongozi wa simba Umewahi kusema lolote kuhusu haruna, vinginevyo aombe radhi
Sasa unamtaka anayeripoti alichosikia redioni akitolee uthibitisho? Ingekuwa busara ukamtaka Haruna mwenyewe na si vinginevyo
 
Kwa haruna sasa ivi aitakiwi stori weka dau zuri mezan nisaini ndicho walichofanya simba
 
Anza wewe kuwajibisha ubongo wako. Anajua hata kushika bunduki huyo? Wakati mwingine muache cheap politics. Habari za mwanasiasa kupanda Daladala Siku moja halafu akahesabiwa kuwa anawajali wanyonge. Fake politics for the simple minded.
Who is faking life? Mmesahau mlishangilia mikataba leo inapingwa mnashangilia tena....uzuzu huo. Hakuna cheap politics hapo, Mwigulu is very concerned with what is happening huko Kibiti kama waziri husika na wala hawez kukwepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…