Kumbe mnampenda okwi
Kwahiyo 50/50Kama mnavyompenda Niyonzima
Mimi sitekwi na huo ujinga. Sina political affiliation ila nina fikra huru. Back tu SportsWho is faking life? Mmesahau mlishangilia mikataba leo inapingwa mnashangilia tena....uzuzu huo. Hakuna cheap politics hapo, Mwigulu is very concerned with what is happening huko Kibiti kama waziri husika na wala hawez kukwepa
Huna fikra huru bali umefungwa bila kujijua, rudi kasome ulichonijibu beforeMimi sitekwi na huo ujinga. Sina political affiliation ila nina fikra huru. Back tu Sports
Just an example. Tuongee sokaHuna fikra huru bali umefungwa bila kujijua, rudi kasome ulichonijibu before
Lakini alishindwa kumsaidia PONJOLO MANJI,asiswekwe MLUPANGO!!Nchemba anaweza, yuko tayari watu wafe kibiti ila yanga hali ya hewa iwe shwari!
Kibiti tyr ameshindwa unataka ashindwe kote!?Mwigulu aache kwenda kibiti aende kumfuata mpuuzi mmoja.Haiwezi kuwa kama hivyo.
mpira wa siasaSiasa za mpira