Ndoto ya Tenga kuitangaza TZ kwa njia ya mpira hatimaye imelipa, leo kwa mara ya kwanza BBC WORLD kipindi cha michezo kimetangaza habari za Tz kucheza na Ivory coast. Ingawa focus yao ilikuwa kwa Drogba lakini ndio wametutangaza hivyo, na kuweka high lights chache za mpira huo likiwepo goli tulilofungwa. Kwangu mimi imelipa, watu wamesikia habari zetu na kuona uwanja wetu.
Ndoto ya Tenga kuitangaza TZ kwa njia ya mpira hatimaye imelipa, leo kwa mara ya kwanza BBC WORLD kipindi cha michezo kimetangaza habari za Tz
Kwangu mimi imelipa, watu wamesikia habari zetu na kuona uwanja wetu.
Mkuu Shedafa,
Kutangazwa huko, watu wamesikia habari zetu NZURI au udhaifu?
...Uwanja una nini???bongo suala la uwanja bado ni tatizo....
Ndoto ya Tenga kuitangaza TZ kwa njia ya mpira hatimaye imelipa, leo kwa mara ya kwanza BBC WORLD kipindi cha michezo kimetangaza habari za Tz kucheza na Ivory coast. Ingawa focus yao ilikuwa kwa Drogba lakini ndio wametutangaza hivyo, na kuweka high lights chache za mpira huo likiwepo goli tulilofungwa. Kwangu mimi imelipa, watu wamesikia habari zetu na kuona uwanja wetu.
Nimesema Tenga kwa sababu ndiye aliyewafuata Ivory Coast wakati wanacheza na Malawi kama niko sawa, aliwafuata kuwaomba waje wafanye mazoezi hapa kabla ya kwenda Angola. Kwa hiyo ujio wao si juhudi za Maximo, ingawa Maximo naye anastahili kupongezwa kwa sababu wasingekubali kuja kama kusingekuwa na sifa nzuri hata kama kiwanja ni kuzuri namna gani.Hii ni kazi ya Tenga au Maximo?
Makubwa, ikiwa mtazamo wa uchumi tena ni kigezo itakuwa kazi!. Kwa hiyo Marekani si ndio angekuwa bingwa wa dunia kila siku, vipi uchumi wa Brazil kulinganisha na USA, UROPA na JAPAN?. Kwani mkuu, kabla ya Maximo alikuw kocha mzungu?. Je, kuna mtu alikuwa hata na hamu ya kuzungumzia Stars?.jamani tenga ametutangaza kwa lipi? nchi inatia aibu sana zambia,gabon,benin,togo, hizi ni nchi changa sana kwetu kiuchumi,leo zimeingia africa cup 2010 angola sasa leo utaweza kusema nini jua ya tenga na jopo lake la TFF.....mimi nataka wote wanausika na michezo hapa tz waondolewe madarakani na waingia watu wenye uwezo na sera za kutupeleka kwenye mashindano makubwa.kuhusu kocha wa taifa ni bora tuwe na kocha mzalendo ambaye anajua nchi yetu,atajua wapi anaweza kupata wachezaji.
Inshallah, nawe ndoto zako ziwe kweli kama Tenga!Now we need to build 3 more quality stadiums, improve our public transportation, expand our airport, get more investment in Hotels, Get rid of the traffic jams, etc and we can host the African Cup of Nations ourselves. LOL! 😉
I know.... i'm dreaming