Ndoto yako kubwa ni ipi??

Ndoto yako kubwa ni ipi??

Emma Mnyama

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
201
Reaction score
183
Ni nini unafikiria, unapanga kufanya au kumiliki kwa wakati was baadae?

Kwa kuanza, mm nafikiria/ Nina ndoto zifuatazo.
@ before age of 26 yrs old
-shamba/ mashamba jumla ya ekari zisizopungua 100. Nikifanya kilimo cha umwagiliaji.
-Nyumba ya ndoto yangu.

@ before age of 35 yrs
-kumiliki ekari zisizopungua 500 huku nikifanya kilimo cha umwagiliaji.
- Ku supply chakula mikoani na nchi jirani (kibiashara) pia kutoa msaada wa chakula kwa wahanga wa chakula.ndani na nje ya nchi.

@before age of 45
-nimiliki kiwanja cha michezo sanasana mpira wa miguu.

*kwa sasa mawazo yangu yote ni kilimo tu, nitapopata elimu na ujuzi mwingine nitaongeza matarajio mengine.
*Naomba Mungu asimamie ndoto zangu.

Ww je ndoto zako ni zipi?? Karibu
 
Ndoto zangu ni kufuga chuma ulete ukivuna mazao yako Na fedha zako nizipate mimi
 
Una umri gani mpaka sasa hivi??
Ulishatimiza hata nusu ya malengo kwa umri wako..
 
Kumiliki Forum kubwa barani Afrika kabla ya mwaka 2022
 
Back
Top Bottom