Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,612
Wasalaam wana Jambi!
Katika tafakuri yangu nimepata "kajindoto" kua kama taifa timing yetu imekua ndivyosivyo! Yaani mtiririko wa maRaisi ungekua JKN-JPM-BWM-AHM-JMK ingalu hizi hoja za uchwara zisingekuwepo.
Sasa JMK alikua raisi aliyeelewa kua yupo kwenye nyakati za dot com! kilakitu kiko wazi hata ukijificha chumbani au kwenye pango! Ni zama za utandawazi ambapo freedom mean everything! Ndio maana pamoja na kusoma mitandaoni haikumsumbua kwakua alielewa majira na nyakati.
Rafiki yangu mmoja alileta utani ati JMK alikua ameachia critisisms kwa sababu alikua shabiki wa yanga toka pwani! Ati mashabiki wa yanga toka bara ngumi mkononi!!!!! ukimuambia shabiki wa yanga wa bara kesho mechi ya watani nitakuoa!!!! Oups utashangaa pangaaaa!
Mtiririko ulitakiwa uwe kama kajindoto kangu Nchi yetu ingekua imekaa vizuri, kwasasa naona kama tutakwamishana tuu! Maana na utandawazi huu ambapo sekta isiyo rasmi inatiririka dunia nzima lakini hapa kwetu imebatizwa eti inaitwa upigaji.
Ati waliojiajiri na kujikimu wanaitwa wanaoishi kwa ujanja ujanja, wafanyabiashara wanaitwa wahujumu, wafanyakazi wanaitwa wezi, nk.
Watanzania tutanyoka tuu!